Saturday, May 2, 2015

vyuo mbali mbali

Tuesday, April 3, 2012 VYUO MBALI MBALI VYA TANZANIA, SIFA ZA UOMBAJI, NAMNA YA KUOMBA, TOVUTI ZA VYUO HIVYO. Posted by Juma Mtanda on 9:35 AM No comments KWA WAOMBAJI WA KOZI MBALIMBALI TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ZIFUATAZO KWA MSAADA ZAIDI: Chuo cha ufundi Arusha (ATC).www.atc.ac.tz. Sifa za mwanafunzi ni kupata angalau (D)katika masomo ya sayansi ambayo ni mathematic,physics,chemistry kwa mwanafunzi wa kike but kwa mwanafunzi wa kiume awe amepata (c) katika masomo mawili kati ya hapo juu baada ya hapo ataitwa katika access course ambayo inachua muda wa miezi miwili na wiki mbili mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini katika kila somo ambayo ni mathematic,physics ,computer and mechanic gharama za acc Ess course ni shilingi laki mbili kula na kulala Chuo kwa female only DAR ES SALAAM INSTUTE OF TECHNOLOGY (DIT) www.dit.ac.tz Sifa ni nikupata angalau (D) katika masomo yote ya sayansi kwa kila man and woman Kuna access course kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili kwa gharama za sgilingi laki na nusu kulala chuo but kula kila mwanafunzi anajitemea but wanafunzi wataofauru watadhaminiwa na serikali kwa gharama za kulipa shilingi laki mbili na kumi Course tembelea kwenye website yao hapo juu. MBEYA INSTUTE OF TECHNOLOGY AND SCIENCE(MIST) www.mist.ac.tz Sifa kila mwanafunzi aliyefauru angalau (D) Katika masomo ya sayansi Fomu inapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano kwenye tovuti yao hapo juu . Kuna access course kwa wanafunzi watakachaguliwa kujiunga na chuo kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili(2) kwa mwanamke analipa shilingi laki moja na kumi kula anajitemea kwa mwanaume shilingi laki mbili na thelathini kula anajitemea akifauru anakuwa Under government sponsorship scheme atalipa shilingi laki mbili na nusu MBEGANI FISHERIES DEVELOPMENT CENTRE Kuna course mbalimbali pale chuoni ,fomu zinapatikana pale chuoni Ada kwa sasa shilingi laki saba kwa mwaka kula na kulala chuoni Sifa za mwanafunzi kujiunga chuoni ni kupata (D)katika masomo ya sayansi Kwa ngazi ya cheti muda wa course ni miaka miwili Kwa mwanafunzi wanachukua diploma sifa za kujiunga ni Kupata angalau `S`mbili Katika masomo ya sayansi muda wa course ni miaka miwili VYUO VYA MIFUGO NA MAENDELEO YA UVUVI Sifa ya kujiunga na vyuo vya mifugo ni kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango kisicho pungua points 28 katika kiwango kimoja na kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango cha (d) muda wa course ni miaka miwili tu. Ada sasa ni shilingi laki tatu private laki tisa kwa mwaka kwa ngazi ya cheti na diploma kwa sifa za kujiunga nachuo kwa ngazi ya diploma ni `S` kwa masomo ya sayansi tu maombi kutuma kwa KATIBU MKUU WAZARA YA MIFUGO NA M AENDELEO YA UVUVI S.L.P.9252 DAR CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII DAR ES SALAAM CHUO KINATOA COURSE ZIFUATAZO Human resource management ngazi ya cheti na diploma kwa sifa ya (d-5)kwa ngazi ya cheti na (s-e)kwa ngazi ya diploma Social work –course kwa ngazi yha cheti na diploma Fomu zake ni shilingi elfu ishilini tu tembelea www.isd.ac.tz CHUO CHA USIMAMIZI WA MAHAKAMA LUSHOTO- TANGA(www.ija.ac.tz) Kuna course moja tu ambayo ni Certifacate of Law muda ni mwaka mmoja tu Sifa ya kujiunga ni kupata (D) Katika masomo ya Arts Kufauru sommo la Engilish ni lazima fomu zinapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano tu Kwa ngazi ya Diploma ni kupata credit 5 za kidato cha nne au kupata japo (E-S)katika masomo ya Arts Ada ni shilingi milioni moja laki tatu kwa mwaka without accommodation

No comments :

Post a Comment