Thursday, August 6, 2015

NUHU AANIKWA BAADA YA KUMTOKEA BIDADA WEMA SEPENGA AUMBUKA NA KUTOKOMEA PASIPOJULIKANA





baada ya shilole kufungiwa basata nuhhu ameamua kukacha kwa mlango wa uwanj na kuanza kutafta jimama jipya la kumtunza Inasemekana kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu alimrekodi mpenzi wa Shilole, Nuhu Mziwanda kwenye simu akiwa anamtongoza.Tabia hii yakurikodiana imekua maarufu sana hhasa kwa wasanii wasanii wa Bongo sijui ndiyo kutafuta Kicki au nini ila inasikitisha sana. Hapo awali mpenzi wa Wema wa zamani, Diamond Platnumsalimdhalilisha kwa kumrecord Wema nakusambaza clip hiyo mitandaoni na ndohicho hicho alichokifanya wema kwa Nuhu…

Hatimaye Diamond apata mtoto, ingia hapa kuona
Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell��… Welcome to the world@princess_tiffah�� Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu��… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @

Monday, June 15, 2015

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.





1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND

2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB

3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA

4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE

5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO

6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ

7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA

8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ

9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO

10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEL

11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI

12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA

13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA

14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF

15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME - ALI KIBA

16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE - VENESSA MDEE

17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - MZEE YUSSUF

18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA - ALI KIBA

19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI

20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA - VANESSA MDEE

21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI

22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA

23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA

24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX

25. RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ)

26. MSANII BORA WA HIP HOP - JOH MAKINI

27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) - SAUTI

ENJOY NA COMEDY NZURI na bruno jey mchaaaro

Saturday, June 13, 2015

TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2015.

TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2015. Friday, June 12, 2015 BURUDANI. No comments Baadhi ya washindi wa prpmosheni za Kilimanjaro waliowasili jijini Dar es Salaam kushuhudia Kilimanjaro Tanzania Music Awards zinazotarajiwa kufanyka kesho katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Msham Isihakamwaka kutoka Mtwara, David Justin kutoka Mtawara na Robson Steven kutoka mkoani Mbeya.Tayari wako jijini Dar es Salaam kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro kesho. Na Mwandishi Wetu. WASHINDI waliopatikana katika Promosheni za Bia ya Kilimanjaro zilizofanyika nchini kote wameanza kuwasili jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Hafla ya kukabidhi tuzo hizi inategemewa kufanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi 13 June 2015. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli amesema jumla ya washindi 22 wanatarajiwa kuwasili leo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Washindi hawa wataungana na washindi wengine 4 wa Hapa Dar Es Salaam. Bi. Pamela amesema washindi hawa walichaguliwa kwanjia ya kuponi baada ya wao kama wanywaji kununua bia ya Kilimanjaro kwenye Bar zilizokuwa na Promosheni. Washindi hawa wanalipiwa gharama zote za usafiri, Malazi na chakula kwa kipindi cha siku zote tatu watakazo kuwa hapa jijini. Bi. Pamela amesema washindi wanaokuja nikutoka katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Kahama, Musomana Dar es Salaam.

Wednesday, June 3, 2015

Msanii mwenye jina kubwa Afrika na dunia nzima kutokea kwenye ardhi ya JK azidi kupasua anga na kuwadondosha udenda wasanii wenzake kwa kuweka wazi kazi zake. Sasa anakuja na wimbo mwingine akimshirikisha msanii wa kimataifa Mr. Flavour ambaye ashafanya nyimbo nyingi na kali na wasanii mbali mbali ndani na nje ya Nigeria. Wimbo huo unaenda kwa jina la Nana lakini bado hajaweka wazi kipi kinachozungumziwa ndani ya wimbo huo.Kama unakumbuka Diamond ashafanya nyimbo nyingi na kali akiwashirikisha wasanii kutoka Nigeria ambazo zimemfikisha mbali sana na kumfanya kuwa nominated katika tuzo mbalimbali kama zile za Chanel O, MTV, AFRIMAMA na nyingine nyingi za hapa nyumbani Tanzania na Afrika.
na brunomchaaro

Saturday, May 2, 2015

vyuo mbali mbali

Tuesday, April 3, 2012 VYUO MBALI MBALI VYA TANZANIA, SIFA ZA UOMBAJI, NAMNA YA KUOMBA, TOVUTI ZA VYUO HIVYO. Posted by Juma Mtanda on 9:35 AM No comments KWA WAOMBAJI WA KOZI MBALIMBALI TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ZIFUATAZO KWA MSAADA ZAIDI: Chuo cha ufundi Arusha (ATC).www.atc.ac.tz. Sifa za mwanafunzi ni kupata angalau (D)katika masomo ya sayansi ambayo ni mathematic,physics,chemistry kwa mwanafunzi wa kike but kwa mwanafunzi wa kiume awe amepata (c) katika masomo mawili kati ya hapo juu baada ya hapo ataitwa katika access course ambayo inachua muda wa miezi miwili na wiki mbili mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini katika kila somo ambayo ni mathematic,physics ,computer and mechanic gharama za acc Ess course ni shilingi laki mbili kula na kulala Chuo kwa female only DAR ES SALAAM INSTUTE OF TECHNOLOGY (DIT) www.dit.ac.tz Sifa ni nikupata angalau (D) katika masomo yote ya sayansi kwa kila man and woman Kuna access course kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili kwa gharama za sgilingi laki na nusu kulala chuo but kula kila mwanafunzi anajitemea but wanafunzi wataofauru watadhaminiwa na serikali kwa gharama za kulipa shilingi laki mbili na kumi Course tembelea kwenye website yao hapo juu. MBEYA INSTUTE OF TECHNOLOGY AND SCIENCE(MIST) www.mist.ac.tz Sifa kila mwanafunzi aliyefauru angalau (D) Katika masomo ya sayansi Fomu inapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano kwenye tovuti yao hapo juu . Kuna access course kwa wanafunzi watakachaguliwa kujiunga na chuo kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili(2) kwa mwanamke analipa shilingi laki moja na kumi kula anajitemea kwa mwanaume shilingi laki mbili na thelathini kula anajitemea akifauru anakuwa Under government sponsorship scheme atalipa shilingi laki mbili na nusu MBEGANI FISHERIES DEVELOPMENT CENTRE Kuna course mbalimbali pale chuoni ,fomu zinapatikana pale chuoni Ada kwa sasa shilingi laki saba kwa mwaka kula na kulala chuoni Sifa za mwanafunzi kujiunga chuoni ni kupata (D)katika masomo ya sayansi Kwa ngazi ya cheti muda wa course ni miaka miwili Kwa mwanafunzi wanachukua diploma sifa za kujiunga ni Kupata angalau `S`mbili Katika masomo ya sayansi muda wa course ni miaka miwili VYUO VYA MIFUGO NA MAENDELEO YA UVUVI Sifa ya kujiunga na vyuo vya mifugo ni kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango kisicho pungua points 28 katika kiwango kimoja na kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango cha (d) muda wa course ni miaka miwili tu. Ada sasa ni shilingi laki tatu private laki tisa kwa mwaka kwa ngazi ya cheti na diploma kwa sifa za kujiunga nachuo kwa ngazi ya diploma ni `S` kwa masomo ya sayansi tu maombi kutuma kwa KATIBU MKUU WAZARA YA MIFUGO NA M AENDELEO YA UVUVI S.L.P.9252 DAR CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII DAR ES SALAAM CHUO KINATOA COURSE ZIFUATAZO Human resource management ngazi ya cheti na diploma kwa sifa ya (d-5)kwa ngazi ya cheti na (s-e)kwa ngazi ya diploma Social work –course kwa ngazi yha cheti na diploma Fomu zake ni shilingi elfu ishilini tu tembelea www.isd.ac.tz CHUO CHA USIMAMIZI WA MAHAKAMA LUSHOTO- TANGA(www.ija.ac.tz) Kuna course moja tu ambayo ni Certifacate of Law muda ni mwaka mmoja tu Sifa ya kujiunga ni kupata (D) Katika masomo ya Arts Kufauru sommo la Engilish ni lazima fomu zinapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano tu Kwa ngazi ya Diploma ni kupata credit 5 za kidato cha nne au kupata japo (E-S)katika masomo ya Arts Ada ni shilingi milioni moja laki tatu kwa mwaka without accommodation

Thursday, April 30, 2015

BRUNO MANYAUNYAU..

Mambo vipi msomaji wangu??? leo nakuletea stori za udakutu...!! bt usiogope kama vipi. Cheki na hii picha kwanza.
Hao hapo ni baadhi ya wadau wa blog hii ambao kila siku lazima waisome.