Monday, June 15, 2015

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.





1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND

2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB

3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA

4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE

5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO

6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ

7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA

8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ

9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO

10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEL

11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI

12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA

13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA

14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF

15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME - ALI KIBA

16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE - VENESSA MDEE

17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - MZEE YUSSUF

18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA - ALI KIBA

19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI

20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA - VANESSA MDEE

21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI

22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA

23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA

24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX

25. RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ)

26. MSANII BORA WA HIP HOP - JOH MAKINI

27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) - SAUTI

ENJOY NA COMEDY NZURI na bruno jey mchaaaro

Saturday, June 13, 2015

TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2015.

TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2015. Friday, June 12, 2015 BURUDANI. No comments Baadhi ya washindi wa prpmosheni za Kilimanjaro waliowasili jijini Dar es Salaam kushuhudia Kilimanjaro Tanzania Music Awards zinazotarajiwa kufanyka kesho katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Msham Isihakamwaka kutoka Mtwara, David Justin kutoka Mtawara na Robson Steven kutoka mkoani Mbeya.Tayari wako jijini Dar es Salaam kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro kesho. Na Mwandishi Wetu. WASHINDI waliopatikana katika Promosheni za Bia ya Kilimanjaro zilizofanyika nchini kote wameanza kuwasili jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Hafla ya kukabidhi tuzo hizi inategemewa kufanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi 13 June 2015. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli amesema jumla ya washindi 22 wanatarajiwa kuwasili leo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Washindi hawa wataungana na washindi wengine 4 wa Hapa Dar Es Salaam. Bi. Pamela amesema washindi hawa walichaguliwa kwanjia ya kuponi baada ya wao kama wanywaji kununua bia ya Kilimanjaro kwenye Bar zilizokuwa na Promosheni. Washindi hawa wanalipiwa gharama zote za usafiri, Malazi na chakula kwa kipindi cha siku zote tatu watakazo kuwa hapa jijini. Bi. Pamela amesema washindi wanaokuja nikutoka katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Kahama, Musomana Dar es Salaam.

Wednesday, June 3, 2015

Msanii mwenye jina kubwa Afrika na dunia nzima kutokea kwenye ardhi ya JK azidi kupasua anga na kuwadondosha udenda wasanii wenzake kwa kuweka wazi kazi zake. Sasa anakuja na wimbo mwingine akimshirikisha msanii wa kimataifa Mr. Flavour ambaye ashafanya nyimbo nyingi na kali na wasanii mbali mbali ndani na nje ya Nigeria. Wimbo huo unaenda kwa jina la Nana lakini bado hajaweka wazi kipi kinachozungumziwa ndani ya wimbo huo.Kama unakumbuka Diamond ashafanya nyimbo nyingi na kali akiwashirikisha wasanii kutoka Nigeria ambazo zimemfikisha mbali sana na kumfanya kuwa nominated katika tuzo mbalimbali kama zile za Chanel O, MTV, AFRIMAMA na nyingine nyingi za hapa nyumbani Tanzania na Afrika.
na brunomchaaro